Baadhi ya watoto wanaolelewa katika mazingira magumu kwenye kituo cha Mitindo House,wakionesha baadhi ya picha walizochora.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha rasiliamali watu,Bw.charles Mushi akiwa amepozi na baadhi ya watoto wanaolelewa kwenye mazingira magumu kwenye kituo cha Mitindo House.
Baadhi ya watoto wanaolelewa katika mazingira magumu kwenye kituo cha Mitindo House,wakionesha baadhi ya picha walizochora.
Mama Dorithy Mwanyika akiwa na tabasamu lake la upendo kwa watoto waishio katika mazingira magumu na kulelewa katika kituo cha Mitindo House,mara alipotembelea kituo hicho na wafanyakazi wenzake kutoa msaada wa vyakula mbalimbali wenye thamani ya shilingi milioni mbili,katika mwendelezo wa kampeni ya pamoja na Vodacom inayoendeshwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo,Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha Maendeleo rasilimali watu wa Vodacom Tanzania,Bw. Conrad Msoma, akianalia moja ya michoro aliechora mmoja wa watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Mitindo House,wafanayakazi wa kitengo cha rasiliamali watu cha Vodacom walitembelea kituo hicho kutoa msaada wa vyakula na vitu mbalimbali wenye thamani ya shilingi milioni mbili,katika mwendelezo wa kampeni ya pamoja na Vodacom inayoendeshwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo,Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira magumu cha Mitindo House,Bi.Khadija Mwanamboka wakwanza kutoka kushoto waliosimama,akiwapa muuongozo baadhi ya wafanyakazi wa kitengo cha rasiliamali watu cha Vodacom waliotembelea kituo hicho kutoa msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vywenye thamani ya shilingi milioni mbili,katika mwendelezo wa kampeni ya pamoja na Vodacom inayoendeshwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo,Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha Maendeleo rasilimali watu wa Vodacom Tanzania,Bw. Conrad Msoma, akimkabidhi mmoja wa watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Mitindo House,Galoni ya mafuta ya kula kama sehemu ya msaada wenye thamani ya shilingi milioni mbili kutoka Vodacom Tanzania kupitia kampeni yake ya pamoja na Vodacom inayoendeshwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo,Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment