LINEX AMVISHA PETE YA MCHUMBA WAKE...!!!

Linex akiwa na my wife to be be wake

Mambo ya madini 

Wifi yetu katika pose

Wapendanoooooooo safi sana

Full kuringishia madini!!
Weekend hii, mtu mzima Sunday Mjeda aka Linex aka Mr VOA (Voice Of Africa),
 alifanya yake kwa kumvisha pete mpenzi wake, ambae ni  ambae ni  mwenyeji wa Finland anaeitwa Suvi.
 According to sources Linex aliamua kufanya kimya kimya tena wakiwa wawili tu,
 kwasababu hakutaka kujionyesha, na anaamini ile ni kitu 
very personal haikuhitaji manjonjo mengi.

Well hongera zao na tunawatakia kila la kheri.

Images via This is Diamond



Comments