MH. BALOZI PETER KALLAGHE AMTEMBELA MFANYABIASHARA KASONGO KASSMODDY NDANI YA MGAHAWA WAKE KASS'S GRILL CAFE NORTHAMPTON...!!!

Kass's Grill Cafe
Mh. Peter Kallaghe, Balozi wa Tanzania K akiwa katika picha ya pamoja na mfanya biashara Kasongo Kassmoddy alipomtembelea katika mgahawa wake uliopo mji wa Northhampton. Huu ni muendelezo wa ziara ya Balozi kwa wafanyabiashara wa wakitanznia waishio nchini UK
 Kasongo Kassmoddy akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waishio nchini UK pamoja na afisa ubalozi Amos Msanjali wa pili kushoto walipo mtembelea ofisi kwake.
Mh. Balozi na Kasongo wakiwa makini kusikiliza jambo

Comments