MH. ZITTO KABWE AMALIZA RASMI MAFUNZO YA AWALI YA JKT KWA GWARIDE MAALUMU NA KUPATA ZAWADI YA ULENGAJI SHABAHA...!!!
![]() |
Mh. Zitto Kabwe akiwa anjiandaa kwa parade la kufunga mafunzo |
![]() |
Waheshimiwa Zitto Kabwe, Iddi Azan, Abdallah haji, Raya Ibrahim na Antony Mbassa wakiwa shambani wakipanda mahindi. |
Kupitia ukurasa wake wa twitter Mh. Zitto Kabwe amefunguka na kuaandika kwamba amemaliza rasmi mafunzo ya awali ya #JKT huko katika kambi ya Mgambo 835JK mkoani Tanga kwa gwaride maalumu. Pamoja na kumaliza mafunzo hayo ya awali Mheshimiwa Zitto amefanikiwa pia kupata Zawadi ya ulengaji shabaha. Ameongezea kwa kusema siku hii kwa hakika ni ya historia kwake.
Hongera sana mheshimiwa.
Comments
Post a Comment