MTANZANIA RAIA WA UGIRIKI AKAMATWA NA KILO TANO ZA MADAWA YA KULEVYA ZANZIBAR AIRPORT...!!!


Jeshi la polisi Zanzibar limefanikiwa kumkamata raia wa Kigiriki akijaribu kusafirisha madawa ya kulevya kuelekea Italy.

Comments

  1. MUSSA NJINO huyu mtuhumiwa kumbe katoka bara sasa mjuwe wa zanzibar kivuli

    ReplyDelete

Post a Comment