TUME YA UTUMISHI WA BUNGE YAKUTANA NA BAADHI YA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UINGEREZA.

Tume ya Utumishi wa Bunge kutoka kushoto ni Said Othman Yakubu,  Mh.Godfrey Zambi, MH. Job Ndungai Naibu Spika wa bUnge, Mh. Saleh Ahmed Pamba na Mh. Beatrice Shelukindo
Pichani ni baadhi ya watanzania waishio nchini UK wakiwa kwenye mkutano mfupi na watumishi wa Bunge walipo kuw nchini Uingereza kwenye ziara ya Bunge 
Mmoja wawadau akiuliza swali huku wengine wakisikiliza kwa makini
Mh. Beatrice Shelukindo akijibu swali
Wadau wakifuatilia kikao
Mh. Job Ndungai akichangia hoja
Maswali yakiendelea kumi


Mh. Zambi akijibu swali

Mr & Mrs Malume wakifuatilia mkutano

Mwenyekiti wa TAWA UK Mariam Kilumanga pia alihudhuria
Ndugu Haruna Mbeyu (Meya wa London) akimwaga sera zake
Mwenyektiti wa watanzania London Ndugu Said Surur akifuatilia mkutano
Meya akiendela kumwaga sera zake
Ndugu Hilal nae alikuwepo
Kaka Shabani Kawawa akichangia hoja na pia aliwashukuru waheshimiwa kwa muda wao wakukutana na watanzania na kuwapongeza kwa kazi nzuri wanyao ifanya






Baadhi ya wanawake waliohudhuria mkutano wakiwa katika picha ya pamoja na waheshimiwa. Wanawake oyeeeeeeee
Watumishi wa Bunge wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa watanzania UK
Picha ya pamoja na baadhi ya wadau walio hudhuria mkutano huo
Nikiwa katika picha ya pamoja na Mh. Job Ndungai
Mh. Ndungai katika picha ya pamoja na Mariam Kilumanga
Mh. Ndungai, Katibu wa CCM Mariam Mungula na meya wetu Haruna Mbeyu katika picha ya pamoja
Mariam akimtambulisha mume wake Abeid Khamis kwa Mh. Ndungai
Mh Ndungai katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa watanzania London Said Surur, Katibu wa CCM Uk Mariam Mungula na mume wake Abeid Khamis
Moi & Mariam Kilumanga
Wanawake tuliwakilisha.

Comments