Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola duniani, Sir Alan Haselhurst(kati) akiwa katika mazungumzo na Mhe.Job Ndugai, Naibu Spika wa Tanzania na Katibu wa Bunge, Dr Thomas Kashililah kwenye Bunge la Uingereza.Naibu Spika anaongoza wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kwa ziara maalum ya kibunge nchini humo.Mwingine pichani ni Katibu wa CPA Uingereza, Nd.Andrew Tuggey. |
Comments
Post a Comment