![]() |
Karibu katika mahojiano kati ya Jamii Production na Mbunge wa Viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Leticia Nyerere. |
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Leticia Nyerere, akihojiwa na mwanaharakati wa Changamoto yetu Mubelwa Bandio
Yeye ni Mjumbe wa kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Katika mahojiano haya, Mhe. Nyerere amezungumzia mambo mengi ikiwemo
1: Historia ya maisha yake
2: Wajibu wa mbunge wa viti maalum
3: Ushirikiano wa wabunge wanawake katika kumkomboa mwanamke
4: Utata wa uraia wa nchi mbili
Na mengine mengi tu karibu uungane nasi
Comments
Post a Comment