KAJALA AJICHORA TATTOO YA WEMA MGONGONI KAMA ISHARA YA KUMSHUKURU.

Baada ya kutolewa faini ya Shilingi Milioni 13 na msanii mwenzake Wema Sepetu,
Kajala ameamua kuchora Tattoo yenye jina la WEMA mgongoni mwake
 
hii ikiwa kama ishara ya shukrani kwa rafiki yake kipenzi Wema Sepetu.

Kupitia ukurusa wake wa instagram Wema nae ameandika hivi:

Comments

  1. HATA RAISI WA ETHIOPIA ALIBADILI JINA LAKE NA KUITWA MELIKI JINA LA RAFIKI YAKE ALIYEFARIKI KATIKA VITA VYA KUPINDUA SEREKALI

    ReplyDelete

Post a Comment