MAALIM SEIF AFUNGUA MASJID MAULANA MWERA ZANZIBAR.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na waislamu mbali mbali alipofika Mwera kwa ajili ya ufunguzi wa Masjid Maulana.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Masjid Maulana ulioko Mwera.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhi funguo za msikiti kwa Mzee wa “Masjid Maulana” ulioko Mwera, Sheikh Soud,  katika hafla ya ufunguzi wa msikiti huo. 

Comments