MAKAMU WA RAIS DK. BILALI AFUNGUA RASMI MKUTANO WA PAMOJA WA KIMATAIFA WA WATAFITI WANASAYASI AFRIKA.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu TanzaniaNIMR), Dk. Mwele Malecela akisoma hotuba yake. |
Baadhi ya Watafiti Wanasayansi kutoka Taasisi zaidi ya 35 barani Afrika wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa NIMR wakati wa hotuba yake ya ukaribisho. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Kuambukiza Kusini mwa Afrika (SACIDS), Mark Rweyemamu akisoma risala yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo Jijini Arusha. |
Viongozi wa NIMR na Watafiti mbalimbali wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa SACIDS. |
Mkurugenzi wa OHCEA, Japhet Kilewo akitoa hotuba yake. |
Meza kuu ikifuatilia kwa ukaribu Hotuba ya Mkurugenzi wa OHCEA. |
Mwakilishi kutoka Umoja wa Afrika (AU)Dk. Ahmed Hamdy akizungumza na Wanasayansi watafiti. |
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid nae alisoma Hotuba ya Wizara na kumkaribisha Mgeni Rasmi kufungua mkutano huo. |
Comments
Post a Comment