MAZOEZI YA UVUTAJI PUMZI YAENDELEA.

Video ya Kiswahili fasaha inayofuatilia Utangulizi wa majuma mawili yaliyopita kuhusu mazoezi na umuhimu wa kuvuta pumzi sawasawa na baadhi ya faida zake kwa afya zetu wanadamu.

Comments