MLAKI NA RACHEL MFINANGA WAMEREMETA.

Bw.Harusi Mlaki  Carlos na mkewe Rachel Mfinanga wakiingia ukumbinia wakicheza kama vilivyo, sherehe iliyofana katika ukumbi wa Police Mess.
Bw Harusi na mkewe wakitambulisha ndugu na jamaa.
Bi.Harusi Rachael Mfinanga akiangalia wakati mmewe akimtambusha mpwa wake
Wageni waliohudhuria katika hafla hiyo

Mr & Mrs Mlaki katika pose la ukweli
Mambo yakaanza kunoga
Kata cake tulelishane mama,mzee mzima Mlaki alisikika akisema 
Mamaaa nilishe basi duu!
Baba na mama wakipokea cake kwa upendo toka kwa watoto wao waliofunga pingu za maisha
Baba mzazi wa Bw.Harusi mzee Sindbard Mlaki akiwaasa wanae waliofunga pingu za maisha hapo jana
Nae baba mzazi wa Bi.Harusi akapata frusa ya kipekee ya kutoa neon la busara kwa wawili hao!

Hongera wanangu Mungu awabariki..Mzee Sindbard na mkewe wakiwapongeza.
Hongera Shem


Picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzake Bw.Harusi

Waliomeremeta wakiondoka mara baada ya sherehe kuisha..it was great kwa kweli.



Comments