MTANDAO WA PR HABARI WAPATA MKOKO WAKE.

Gari ya Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/  unaongozwa na mwenyekiti Spear Patrick unatarajia kuzindua hivi karibuni  Gari la mtandao huo ambao litakuwa na matangazo mbalimbali ya kazi za kampuni hiyoo

GARI HIYO INAVYO ONEKANA KWA NYUMA

Mwenyekiti wa  Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/  Spear Patrick akionesha moja ya upande uliokua na matangazo hayo

Mafundi wakiendelea kuiremba gari hiyo

Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/

Comments