MUUNGANO DAY - LUTON - UINGEREZA
SATURDAY 20/04/2013
UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA LUTON
(LUTON TANZANIAN COMMUNITY-LTC) KWA KUSHIRIKIANA NA TRIPPLE EM FOODS & DJ DOUBLE T
UNAPENDA KUWAKARIBISHA WANA AFRIKA MASHARIKI WOTE KWENYE SHEREHE ZA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR (TANZANIA) ZITAKAZOFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 20/04/2013 PALE PALE KWENYE KIOTA MAARUFU KWA NYAMA CHOMA LUTON - ROMAN WAY PUB, 93 TOMLINSON AVENUE, LUTON LU4 0QL.
KIINGILIO NI £5 KABLA YA SAA SITA USIKU NA BAADA YA HAPO NI £10. CHAKULA CHA KINYUMBANI KITAKUWEPO NA NYAMA CHOMA, CHAPATI NK.. KAMA KAWAIDA.
SHEREHE HIZO ZITAPANDWA NA MA DJ WALE WALE WA UHAKIKA DJ CYMOH,
DJ BILLY NA DJ DOUBLE T-WATAPOROMOSHA
AFROBEATS, BONGO BEATS, GENGE, RAGGAE, SOUL, OLDSKOOL, R&B, DANCEHALL NA RHUMBA NA NYINGINE NYINGI TU.
WOTE MNAKARIBISHWA MJULISHE MWENZIO KUHUSU UHONDO WA SHEREHE HII.
ABRAHAM SANGIWA.
KATIBU - JUMUIYA YA WATANZANIA LUTON (LUTON TANZANIAN COMMUNITY – LTC)
DOUBLETREE BY HILTON HAS PARTNERED WITH SOBER HOUSE WITH THE AIM TO EDUCATE THE CHILDREN OF ZANZIBAR ON DRUG AWARENESS AND PREVENTION
Comments
Post a Comment