ONE YEAR ON SUPERSTAR LULU ATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU STEVEN KANUMBA NA KUKUTANA NA MAMA KANUMBA.

Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki
Wakimuombea Marehemu Steven Kanumba
Shada la Maua likiwekwa kaburini hapo
O pole sana Lulu Mungu akutie nguvu.

Mama Kanumba akisaidiwa kuweka shada la maua
Lulu akiendelea kumlilia Kanumba huku Mama Kanumba akiweka shada lake la maua kwenye kaburi la mwanae
Lulu akiwa katika picha ya pamoja na mama Kaumba mara baada ya misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Steven Kanumba afariki.
Lulu na mama yake mzazi wakiwa katika makaburi ya Kinondoni
Waigizaji mbalimbali kwenye kumbukumbu ya Marehemu Kanumba makaburini Kinondoni muda mfupi uliopita,
R.I.P Steven Kanumba

Comments

  1. Shalom wajoli. Poleni kwa majonzi ya rafiki yetu S Kanumba. Ulikuwa ni msiba wetu sote. Tulilia sana na kuhuzunika sana. Yote, tunamsukuru Mungu kwa vile aliruhusu yatokee.
    Nina changamoto kwa wakristo na waislamu wote, ya kwamba, hivi ni jambo jema kumsalimia marehemu na kumtakia heri ya pumziko ilhali alishakufa miaka/siku nyingi zilizopita?
    Biblia na Quran zinatufundisha hivyo kweli au maigizo tu tunayaaksi kutoka kwa wenzetu? Kwetu sisi tunaomwamini M/Mungu, tuna tofauti gani na wale wapagani wanaoenda kutmbikia kwenye makaburi ya wazee wao? Hii ni changamoto tu!! Kila mmoja anapaswa kufikiri. Samahani kama sitakuwa nimechafua hewa humu.
    Nilikuwa natoa mawazo tu. Kazi kwetu sote.
    naptikana kwa samsonbupindimzava@yahoo.com.

    ReplyDelete
  2. Jipumzikie kanumba wetu!pole sana kwa wazazi,ndugu,marafiki na fans wake kanumba.

    ReplyDelete

Post a Comment