Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof; Makame Mbarawa akielezea ukwa Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule na Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni ya Vodacom Salum Mwalim(mwenye fulana nyekundu) ujenzi wa jengo jipya la kituo cha Afya cha Michenzani Mkoa wa Kusini Pemba muda mfupi kabla ya Vodacom Foundation kukabidhi hundi yenye thamani ya Sh 30 Milioni kumalizia ujenzi wa jengo hilo. |
Comments
Post a Comment