Bi Hrusi Mtarajiwa
Baba Yake Mzazi bi Harusi Mtarajiwa Sheikh Mohammed Nassor
Baba Yake Mdogo Akipokea Mahari Hayo
Waleta Mahari wakiwasili nyumbani kwao Intisary
Pete ya Uchumba ndio hiyo Inawekwa kidoleni
Mama na Mwana
Bi harusi mtarajiwa akiwa na mama yake mdogo pamoja na wajomba zake


Tunamtakia Intisary na mwenzie kila la kheri katika mipango yao ya siku yao kubwa mbeleni I mean Harusi yao.
Ameen!!
Pictures by Hassan Khamis
hello jestina..please unaweza kuniambia face cream gani nzuri ya kutumia mimi nina madoadoa ya chunusi usoni..unafikiri makari cream ni nzuri? mimi napenda sana uso wako uko mzuri sana..naagiza vitu vyangu kwenye websit ya packs comestickco.uk.
ReplyDelete