MAREHEMU AYOUB MLAY KUAGWA LEO KATIKA KANISA LA KKT MBEZI BEACH.

 Marehemu Ayoub Mlay ataagwa Nyumbani kwake saa 4:30 asubuhi nyumbani kwake TEGETA na baada ya hapo katika kanisa la KKT MBEZI BEACH Kesho Jumanne Saa 6 MCHANA na baada ya kutoa heshima za mwisho, Marehemu atasafirishwa kuelekea Moshi Kilimanjaro kwa mazishi. Kutakuwa na private cars zitakazo peleka watu moshi kwa aajili ya mazishi mtakao penda kwenda Moshi mnaweza wasiliana na MSEMAJI MKUU WA MAZISHI BWANA SEBASTIAN NDEGE KWA # 0784-888-886.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika nyumba ya marehemu Tegeta, bunde nipatapo picha zaidi nitawawekea kuweza kupata maendeleo ya msiba wa kaka yetu, baba yetu, mjomba yetu marehemu Ayoub Mlay.
Familia ya Marehemu Ayoub enzi za uhai wake na familia yake. Kaacha Mke Jane na watoto watatu Erick, Derick na Michelle.

Comments

  1. Jamaan,very saaaaad,uwiiiiiiiii jaman vijana tujifunze unatembeaa na masilaha sehemu za starehe zanin jamani,waiii na tuache hasira za kijinga unachezea uhai wa mtu kwelii

    ReplyDelete

Post a Comment