![]() |
Mkufunzi wa Warembo wa Redd's Miss Kibaha Rehema Uzuwiya akizungumza na warembo hawo wakati wa mazoezi yao yanayo endelea katika ukumbi wa Vijana Kinondoni |
![]() |
Warembo wa Redd's Miss kibaha wakiwa katika pozi wakati wa mazoezi yao |
![]() |
Warembo watakao wania taji la Redd's Miss Kibaha wakiwa katika pozi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa vijana Kinondoni Dar es salaam. Picha na www.burudan.blogspot.com |
Comments
Post a Comment