Mshindi wa shilingi Milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela,Bw.Valerian Kamugisha,akisukuma toroli lenye mizigo yake mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Mwanza,akiambatana na Meneja wa Vodacom Foundation,Bi.Grace Lyon,wakiendelea na safari ya Kigoma nyumbani kwa mshindi,mara baada ya makabidhiano ya fedha zake rasmi hapo jana.
|
Comments
Post a Comment