MWANA FA ALA SHAVU SASA NI BALOZI WA SAMSUNG GALAXY S4.

Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (kulia) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa muda mfupi baada ya kutangazwa kupendekezwa kuwa Balozi wa Samsung Galaxy 4.
Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (katikati) akitoa neno la shukrani kwa heshima hiyo aliyopewa na Samsung Tanzania kwa kuwa Balozi wa Samsung Galaxy S4.
Simu ambayo inaongozwa kwa mauza ambapo kwa wiki 3 imeshauza simu Milioni 10 duniani kote. Kulia ni  Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar na kushoto ni Mkuu wa Biashara kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Manoj Changarampatt. 
 Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (kulia) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galaxy 4 aliyokabidhiwa na Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar jijini Dar es Salaam leo wakati kampuni hiyo ikitangaza kumpendekeza kuwa Balozi wa wa Simu hiyo nchini. 
 Kishor Kumar (watatu kulia)   wakati kampuni hiyo ikitangaza kumpendekeza Mwana FA kuwa Balozi wa wa Simu hiyo nchini. Wengine pichani ni Mamodel wa Samsung (kulia na kushoto), Mkuu wa Biashara kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Manoj Changarampatt (wapili kushoto) na Sylvester Manyara ambaye ni Meneja wa Biashara ya reja reja. 
Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar 

Comments