Video ya wasanii wa kike nchini, waliojitolea kutengeneza wimbo unaowahamasisha wakinamama kuhusu Gonjwa la fistula, ni ungonjwa ambao upo na una tibika, na sio kuona aibu na kubaki nao nyumbani. wimbo huo umewashirikisha wasanii kama Mwasiti, Recho, Lina, Vanessa Mdee, Feza Kessy,Keisha, The Trio, Dayna, Maunda Zorro, Pipi, Queen Darlin, Vida, Zuhura, Meninnah, Vumilia,Baby J, Sundy Gaga.usikilize hapa chini.
Comments
Post a Comment