Mwanamziki maarufu wa mzuziki wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya Jackson Makini, maarufu kama Prezzo katika akifungua kinywaji aina ya shampeni katika sherehe ya usiku wa wafanyakazi iliyodhamini na Vodacom Tanzania na kufanyika jijini Dar es Salaam.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yesaya, (AY)akigonga cheers katika sherehe ya usiku wa wafanyakazi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yesaya, (AY) katika sherehe ya usiku wa wafanyakazi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (Katikati) akimkaribisha Mwanamziki kutoka nchini Kenya, Jackson Makini, maarufu kama Prezzo katika sherehe ya usiku wa wafanyakazi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (Katikati) akifurahia jambo na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yesaya, (AY) katika sherehe ya usiku wa wafanyakazi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mwanamziki maarufu wa mzuziki wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya Jackson Makini, maarufu kama Prezzo katika akiwa na wadau mbalimbali katika sherehe ya usiku wa wafanyakazi iliyodhamini na Vodacom Tanzania na kufanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi wa wafanyakazi wakifurahia pamoja katika sherehe za usiku wa wafanyakazi iliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika mgahawa wa Elements jijini dare s Salaam.
Comments
Post a Comment