PERONI JAZZ SUNDAY II AT VELISA'S.

Peroni Jazz Sunday II itafanyika wikiendi hii pale pale Velisa's kuanzia saa 11 jioni. Burudani halisi italetwa kwako na Wakwetu Vibes bila kusahau chakula na vinywaji tele ufukweni. Wote mnakaribishwa. Bofya hapa goo.gl/UKFzM kwa maelekezo zaidi.

Comments