PICHA: UZINDUZI WA "MUZIKI GANI VIDEO" DIAMOND, NAY WAFUNIKA MAISHA CLUB.


 Nay wa Mitego alipopanda jukwaani kwa mara ya kwanza na kukamua ngoma zake kali.
Mzuka ukampanda zaidi hadi akavua koti na kukamua kwa hisia kali.
Madansa wa Diamond walitangulia jukwaani kabla mkali huyo hajaingia kupagawisha kwa nyimbo zake zinazopendwa na wengi.
Diamond alipolivamia jukwaa kwa shoo baab’kubwa.
…Akiendeleza makamuzi jukwaani.
…Akifanya kazi yake jukwaani.
…Akidhihirisha kuwa yeye ni noma jukwaani.
…Akiendeleza fujo zake.
…Akiwa na Ommy Dimpoz ambaye alitokea muda mfupi kumpa tafu.
. …Akiwa na Nay wa Mitego wakikamua  ‘Muziki Gani’.

Picha zote kwa hisani ya GPL

Comments