STEVE RnB AKIJIPA SHAVU SEHEMU MBALIMBALI UGAHIBUNI.

Steve RnB ni mmoja wa wasanii ambae ametembea sana Europe mwaka huu. Mpaka sasa hivi ametembelea nchi sita: Germany, Austria, Belgium, Holland, United Kingdom, na Turkey.



Comments