TANGAZO LA KONGAMANO - SALAMA HALL ZANZIBAR.

Kamati ya Maridhiano inawaalika Wananchi wote katika Kongamano kubwa litakalofanyika katika ukumbi wa Salama Hall – Bwawani, siku ya Jumamosi tarehe 25-05-2013. Muda ni kuanzia saa mbili kamili asubuhi.
Kongamano litafunguliwa na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad na mtoa mada ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano Mzee Hassan Nassor Moyo. Nyote mnakaribishwa.

Comments