CHAMA CHA MAPINDUZI.
TAWI LA UNITED KINGDOM.
Website: www.ccmuk.org, ccmuk.org/blog, Facebook – chama cha mapinduzi uingereza, Twitter CCM UK.
UZINDUZI WA SHINA LA CCM JIJINI CARDIFF UINGEREZA
Tunapenda kuwatangazia Wanachama na wapenzi wote wa Chama Cha Mapinduzi kuwa kutakuwa na uzinduzi wa Shina la CCM Jijini Cardiff Uingereza mnamo siku ya Jumamosi tarehe 11/05/2013 kuanzia saa sita za mchana na kuendelea.
Uzinduzi huo utafanyika katika anuani ifuatayo;
KARIBU CAFÉ and BAR, 12 BROADWAY, ROATH CARDIFF CF24 1NF
WOTE MNAKARIBISHWA
KWA TAARIFA ZAIDI, WASILIANA NA ROSE (CARDIFF) KWA NAMBA 07404460904 AU IDARA YA ITIKADI SIASA NA UENEZI KWA NAMBA 07404863333.
Imetolewa na idara ya Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Uingereza.
Comments
Post a Comment