VIDEO: JESHI LA POLISI MOROGORO WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA WANANCHI.

Jeshi la polisi mkoani Morogoro limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wa mji mdogo wa Ruaha wilayani Kilosa kufuatia vurugu zilizodumu kwa muda wa zaidi ya masaa 9 kwa kufunga barabara na kuchoma matairi na kuweka mawe na magogo barabarani wakishinikiza kupinga uongozi wa kijiji.

Comments