VODACOM NA SAMSUNG WAZINDUA S4.

Meneja wa kampuni ya simu za Samsung nchini Kishor Kumar akiwaonyesha simu aina ya Samsung Galax S4 iliyosheheni teknolojia mbalimbali za kisasa ,Meneja uendeshaji wa maduka ya Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi (kulia)  Meneja Mauzo na Usambazaji wa Samsung Sylvester Manyar na Meneja Masoko wa Vodacom Ibrahim Kingozi (kushoto) wakati wa uzinduzi wa  simu hizo mpya ambapo  wateja watakaonunua aina ya simu hizo watapata  huduma ya bure ya Intaneti ya (5GB) kwa muda wa siku 30 ikiwa sambamba na waranti ya mwaka mmoja wa matengezo uzinduzi huo.ulifanyika katika duka la Vodacom lililopo eneo la Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Samsung Tanzania Country Manager, Kishor Kumar, illustrates the features of the new Samsung Galaxy S4 to Vodacom Tanzania Manager for Franchise and Operations, Elihuruma Ngowi (right), Samsung Tanzania Manager for Sales and Distribution, Sylvester Manyar and Vodacom Tanzania Post Paid and Enterprise Acquisition Manager, Ibrahim Kiongozi (left) during the launch of the device in Oysterbay, Dar es Salaam. Upon purchase of the Samsung Galaxy S4, customers will get free 5GB internet for 30 days when activated with Vodacom SIM card. The device also comes with 24 months of warranty that will cover any device feature malfunctions.  
Meneja  Uendeshaji wa Maduka ya Vodacom Tanzania,Bw.Elihuruma Ngowi,akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa simu za mkononi za Samsung Galax S4 ambazo zitapatikana kwenye maduka ya Vodacom,wanaoshuhudia kulia ni Meneja wa kampuni ya simu za Samsung nchini Kishor Kumar na kushoto ni  Afisa Masoko wa Vodacom Ibrahim Kingozi. wateja watakaonunua aina ya simu hizo watapata  huduma ya bure ya Intaneti ya (5GB) kwa muda wa siku 30 ikiwa sambamba na waranti ya mwaka mmoja wa matengezo uzinduzi huo.ulifanyika katika duka la Vodacom lililopo eneo la Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Samsung Sylvester Manyar (kushoto)akimuonesha mwandishi wa habari wa clouds media Bi.Esther Machangu moja ya teknologia iliyopo kwenye simu aina ya Samsung Galax S4 yenye teknolojia mbalimbali za kisasa ,wakati wa uzinduzi wa simu hizo  wateja watakaonunua  simu hizo watapata  huduma ya bure ya Intaneti ya (5GB) kwa muda wa siku 30 sambamba na waranti ya mwaka mmoja ya matengezo,uzinduzi huo ulifanyika Vodashop  Oysterbay jijini Dar es Salaam,Wanaoshuhudia watatu toka kushoto ni Afisa Masoko wa Vodacom Ibrahim Kingozi,Elihuruma Ngowi, Meneja wa Samsung nchini Kishor Kumar. 
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na Samsung wakiwazijaribu simu aina ya Samsung Galax S4 iliyosheheni teknolojia mbalimbali za kisasa ,wakati wa uzinduzi wa simu hizo ambapo  wateja watakaonunua aina ya simu hizo watapata  huduma ya bure ya Intaneti ya (5GB) kwa muda wa siku 30 sambamba na waranti ya mwaka mmoja wa matengezo,simu hizo zitakazokuwa zikipatikana kwenye maduka ya Vodacom nchini.Uzinduzi huo ulifanyika katika duka la Vodacom eneo la Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Samsung Sylvester Manyar (kushoto)akimuonesha mwandishi wa habari wa Africa media Kamis Suleman moja ya teknologia iliyopo kwenye simu aina ya Samsung Galax S4 iliyosheheni teknolojia mbalimbali za kisasa ,wakati wa uzinduzi wa simu hizo ambapo  wateja watakaonunua aina ya simu hizo watapata  huduma ya bure ya Intaneti ya (5GB) kwa muda wa siku 30 ikiwa sambamba na waranti ya mwaka mmoja wa matengezo uzinduzi huo zitakazokuwa zikipatikana kwenye maduka ya Vodacom nchini,uzinduzi huo ulifanyika katika duka la Vodacom lililopo eneo la Oysterbay jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia watatu toka kushoto ni Afisa Masoko wa Vodacom Ibrahim Kingozi, Meneja wa kampuni ya simu za Samsung nchini Kishor Kumar.
Hili ndilo duka la Vodacom lililopo eneo la Oysterbay jijini Dar es Salaam


Comments