AUDIO: BAADA YA KUSHAMBULIWA SANA HATIMAE OMMY DIMPOZ AKANUSHA KUMTUKANA MAREHEMU NGWEA.


Pamoja na haya  Ommy Dimpoz ameongea na mwandishi wetu na  kukanusha kwamba  hana ukurasa wa facebook tokea mwaka 2011na chochote kinachoandikwa kwenye huo ukurasa sio kutoka kwake bali ni matapeli wanaotaka kumchafulia jina lake.

Comments