Skip to main content
BALOZI WA TANZANIA AFRIKA KUSINI AFIKA MSIBANI KWA BABA MDOGO WA MANGWEHA.
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Radhia Msuya, akiweka saini katika kitabu cha maombelezo nyumbani kwa baba mdogo wa Marehemu Mangweha Mbezi Beach jijini Dar leo.
Balozi Msuya akimpa mkono wa pole mama mdogo wa Marehemu Mangweha, Ella Mangweha.…
Comments
Post a Comment