DEMU SIO: PICHA ZA TUNDA MAN ALIPOVAMIWA NA SHABIKI WA KIKE STEJINI.


Tundaman baada ya kuangushwa chini na demu huyo.
Demu wa mtu akimfuata Tundaman stejini.
...Akiwa stejini na Tundaman.

...Akaanza kukata mauno.
...Akazidi kujiachia na Tundaman.
...Burudani zilipokolea akamdondosha chini Tundaman.
...Wakizidi kujiachia huku wakiwa chini.
...Akishuka kutoka jukwaani.
Picha zote kwa hisani ya Global Publisher

Comments