GONGA'S LONDON TRAFFIC LIGHT PARTY 'JIPE SHAVU' BY AY IS ON THIS SATURDAY 15 JUNE 2013 @ CLUB LA FACE (FORMER VOLT).

Gonga's TRAFFIC LIGHT PARTY London 2013 By AY
Traffic Light Party "JIPE SHAVU" London 2013 kwa Mara ya kwanza itakuwa inasimamiwa na Mzee wa Commercial AMBWENE YESSAYA - AY ambaye ndio atakua HOST na kuwaimbia FANS nyimbo chache ikiwemo New Single "JIPE SHAVU" AY atakua head to head ... Hii ni kuleta ukaribu zaidi wa AY pamoja na Fans wake ambapo msanii AY ataweza kupiga picha na kumingle na kila mmoja ndani ya party hii atakayetaka kupata any Memory ya A'List Artist from Tanzania ambae ameshajipatia mafanikio makubwa sana ndani na Nje ya tanzania.... Kama tunavyojua AY ndio msanii pekee Tanzania anaeongoza kwa kufanya Collabo na wasanii wengi sana wa Nje ya tanzania ikiwemo Kenya, Uganda, Nigeria na USA.

Come party with "AyTanzania and @GongaCEO on TLPLondon2013 @ Club LA FACE Edmonton London This Saturday 15th June 2013 from 9pm

A PARTY NOT TO BE MISSED.
GREEN - IF YOUR SINGLE
YELLOW - IT'S COMPLICATED
RED - TAKEN
GET YOUR OUTFIT READY & SEE YOU THERE. 
KARIBUNI 

Comments