LIVE KUTOKA LEADERS CLUB: MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA WAWASILI TAYARI KWA SHUGHULI ZA KUAGA.

Baadhi ya masuperstar wa bongo wakiwa tayari wamefika uwanjani hapo kwaajili ya shughuli za kuaga mwili wa marehemu Mangwea ambao baada ya shughuli hiyo leo utasafirishwa kuelekea Morogoro ambako ndo atapumzishwa kwenye nyumba yake ya miliele hapo kesho.
Image credit: DJ Choka 
Gari lililobeba Mwili wa Marehemu Albert Mangwea likiwa limeshawasili katika viwanja vya leaders tayari kwa wakazi wa jiji la Dar kutoa Heshima zao Za Mwisho Kabla ya Mwili Kusafirisha Mkoani Morogoro kwaajili ya Mazishi
Jukwaa ambalo mwili wa marehemu Albert Mangwea utawekwa ukiwa tayari kabisa kupokea jeneza lake.
Baadhi ya Ndugu, Jamaa na marafiki wa karibu sana na Marehemu Albert Mangwea wakiwa katika sura za majonzi katika viwanja vya Leaders muda huu
Baadhi ya Ndugu, Jamaa na marafiki wa karibu sana na Marehemu Albert Mangwea wakiwa katika sura za majonzi katika viwanja vya Leaders muda huu
Gari liliobeba mwili wa marhemu Mangwea likiwa viwanja vya Leaders Club tayari kwa mwili kushushwa. Image credit Kajunason Blog
Diamond Platnumz akiwa na dada yake Queen Darleen katika viwanja vya leaders club tayari kwa kumuaga mwenzao marehemu Mangwea

Bongo Superstars Barnaba & Diamond Platnumz wakiwakilisha
Ray the Greatest akiwakilisha
Umati wa watu uliopo viwanja vya Leaders muda huu. Image credit Kajunason Blog
Banda Msafi (kulia) na mdau wakiwakilisha
Umati wa watu waliofika uwanjani hapo kutoa heshima za mwisho
Endelea kututembela for more updates

Comments