M 2 THE P ATEMBELEWA HOSPITALI NA MTANZANiA MAGIE HANLON.

Hali ya msanii M 2 The P inaendelea kuwa kuwa nzuri na sasa yupo wodini ya wagonjwa wa kawaida 
Magie Hanlon mtanzania anayeishi South Afrika akiwa Hospitali kumfariji M 2 The P
Magie akimpa maneno ya faraja Msanii M 2 the P alipomtembelea Hospitalini alipolazwa msanii huyo

Comments