MSIBA HOUSTON TX NA TANZANIA WA KAKA YETU JEROME DAVID MPEFO.

Ndugu Wanajumuia,
Kwa masikitiko makubwa natoa taarifa ya kifo cha ndugu yetu
mpendwa JEROME DAVID MPEFO,
kilichotokea leo Jumatano (12/06/2013) majira ya saa mbili usiku
katika hospitali ya MD Anderson alipokuwa amelazwa.
Taarifa zaidi zitatolewa baadaye.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na  wanajumuia wafuatao;
1)Emmanuel Katili - 281 794 0806
2)Peter Mpefo - 832 366 3303

Msiba upo katika anuani ifuatayo;
12511 TRACELYNN LANE
HOUSTON TX 77066
Kutakua na kikao cha dharura nyumbani kwa marehemu kesho (Alhamisi) Juni 13 saa mbili usiku , Wanajumuia mnaombwa kuudhuria kwa wingi.Tafadhali mfahamishe na mwingine upatapo taarifa hii.

Wenu katika Jumuia,
Juma Maswanya.
281-989 3724.

Comments