Wewe mwenyewe huna mpango vile vile usitutibue na wewe bila mashabiki wako na wewe ungekuwa wapi? Alichokisema Ommy Dimpoz tulikisikia na Tanzania yote ilishuhudia alivyokuwa anajigamba na kusema kuwa Mangwea amekufa masikini,sasa yeye yuko wapi leo kwa kumkashifu mtu aliyekufa? Now yeye utajiri wake na umaarufu wake uko wapi?kwakutoa nyimbo tatu ndiyo anajiita yeye star?lol aibu tupu.Please naomba usimtetee huyu mbwa amejiharibia mwenyewe and please be out of it kabla na wewe hatuja kuvuruga ktk fun yako ya music,kwanini unaingilia kitu ambacho kipo open?usimtete Ommy Dimpoz,mwachie Mungu atapambana naye,hapa Duniani kila mtu anabeba mzigo wake mwenyewe sasa yeye kashaanza kuubeba taratibu,show yake Dodoma alifukuzwa na mawe na pale alipo lala Mangwea ndiyo panamfanya asifanikiwe kwa lolote,aende kwenye kaburi la Mangwea kumuomba msamaha labda atasamehewa,vilio vya watu ile siku ya msiba havikuenda bure wakati wanamlaza mle ndani then Ommy anaibuka na kusema maneno kama yale.Damu nzito kuliko maji.Mangwea ameondoka na wewe Ommy,alipo lala na wewe umelala naye.Amen

ReplyDeletewe na we ndo ht hujielewi. Unaongea km umemwagiwa upupu.. Ney,ur ryt bro. Achana na hao wenye akili zilizoma Nungwi km huyo mdau hapo juu!!
ReplyDelete