![]() |
Moto ukiendela kuteketeza Stereo Bar huku umati wa watu ukiangalia |
![]() |
Moshi ulikuwa mweusi sana ni maajabu ya Mungu kwamba wote waliokuwa humo walitoka salama. |
![]() |
Mabaki ya Stereo Bar |
![]() |
Watu wakiendelea kushangaa |
![]() |
Wakuokota makopo na vitu bila kuogopa atahri za moto pia walikuwepo maana bado mbao zenye moto zilikuwa zinadondoka toka juu |
![]() |
Ndani ya Stereo kila kitu nyanga' nyanga' |
![]() |
'Java' imebakia jina tu |
Bar maarufu Kinondoni iitwayo 'STEREO' imateketea kwa moto mkubwa sana jioni ya leo. Moto huo unadhaniwa ulitokana hitilafu ya umeme katika bar hiyo. Pamoja na bar hiyo kuteketea pia nyumba tatu lilizokuwa jirani na bar hiyo pia zimeathirika na mali nyingi kuharibika. Inasemekana hii ni mara ya pili Bar hii kuungua japo mara yakwanza waliuwahi moto.
Picha zote na JG Blog Team
Comments
Post a Comment