RAFIKI YAKE FATMA aka BROWN BERRY AFUNGUKA KUHUSHU CASE INAYOMKABILI YA KUKAMTWA NA UNGA.

Hapa chini ni ujumbe kutoka kwa anayejitambulisha kuwa rafiki yake Fatma anye jiita nunu1988 huko instagram, amefunguka kwenye comment katika post aliyoweka Salma Msangi kuhusu issue ya huyu dada kunyongwa. 
Ni mengi yatasemwa lakini ukweli anaujua yeye mwenywe Fatma.

Comments

  1. Hii tabia nimekuwa nikiisikia sana kwa mabinti wengi hapa mjini.sielewi nini hasa kinachotukuta ss mabinti,ni tamaa y hela ya haraka au ni nn hasa???tunavyosema wanawake tunaweza sio kiivi jamani!maisha mazuri hayji hivi kwa kuua wenzetu,tunabeba haya mambo ndgu zetu wanakufa.unaweza sema to hell with that lakini huwezi jua ya kesho malipo ni hapa hapa,mwanao mpendwa wako au nduguyo atateseka na hii kitu sababu tu ya kazi yko.tuache tamaa ya vitu vizuri,tuamke kuna mengi tu ya kufanya kutupatia riziki ya kuishi.maish ya raha si kuwa na hela nyingi tu wapendwa,pata hicho chako kidogo uishi kwa amani.ni aibu sana kwa mwanamke kufanya hii kitu,aibu kubwa sana.imagine wewe ni mama unasikia mwanao kakamatwa huko na hii kitu unaweza zimia.sisi ni mama wa kesho ni taifa la kesho na mwanmke akiendelea ndo taifa litaneemeka lakini si kwa dizaini hii. Eeh mungu utunusuru na kutusamehe.

    ReplyDelete
  2. No she has right kwanin anyongwe bila kubrook mtandao huyo ni fuko tu wapo wadau sipend atolewe kafara kesi irud inchin usanii wa kuwahifadh wakubwa uchukue nafasi.

    ReplyDelete

Post a Comment