Watanzania na marafiki zao wa Washington State wakijumuika pamoja siku ya mavazi iliyofanyika Jumamosi June 8,2013 mjini Seattle.
Watanzania wa Seattle waliojumuika pamoja siku ya mavazi iliyofanyika Jumamosi June 8, 2013 mjini Seattle, Washington State.
Ni vivazi kwa kwenda mbele.
Watanzania wa Washington State waliojumuika pamoja kwenye sherehe yao ya mavazi wakipata picha ya pamoja.
Ngoma za asili kutoka vikundi mbalimbali vikirindimaukumbini hapo.
Juu na chini Watanzania wa Washington State wakijumuika pamoja na marafiki zao siku ya mavazi iliyofanyika Washington State Jumamosi June 8, 2013.
![]() |
DJ Haroob na Shaabani |
![]() |
Kina mama na miamvuli wakicheza ngoma ya mwanandege |
![]() |
Pendezaaa sana tuu |
![]() |
Kipemba zaidi Tayari kwa ngoma ya msewe |
Comments
Post a Comment