TID AMSHUKIA PROMOTA WAKE WA UK VICTOR DJRULE BONGOUK BAADA YA KUMTOSA BAADA YA SHOW BILA KUMLIPA HAKI YAKE.
Mwanamuziki TID ambaye yuko nchini UK kwenye tour iliyoandaliwa na Victor DJRule BongoUk amefunguka leo kupitia ukurasa wake wa facebook na kumshtumu promoter huyo aliye mleta nchini huma kuto kumlipa baada ya kufanya show kama walivyo kuwa wamekubalina. TID amaandika kifuatacho:
Sasa nyie mapromoter mnao leta wasanii nchi za watu kwa fadia zenu wenyewe na huku hamwajali jamani kweli hii ni haki? Kama umeweza kumlipa artist mmoja kama inavyodaiwa na wote wawili walikuwa kwenye show moja waka perform pamoja unashindwa vipi kumlipa mwingine? Una pigiwa simu hupokei umemuacha mtu hoteleni tena kwenye nchi ya watu what do you expect??? Come on this is not fair. Kama ni kweli umefanya hivyo naomba umlipe haki yake maana amekufanyia kazi kama mlivyo kubaliana na istoshe alikuja kwa kuheshimu mkataba pamoja na wakati mgumu alio kuwa nao baada ya kumpoteza rafiki yake kipenzi Mangwea. Tuwe na ubinadmau kidogo. Majangaaaaaa majangaaaa mbona majangaaaaaa!!!! Juhudi za kumtafuta Victor DJRule BongoUK bado zinaendelea bila mafanikio.
My mind is not some stupid promota is trying to rob me,am not goin to let it happen am calling my balozi why a Kenyan artist hajamzingua......ndo maana hatuendelei
Sasa nyie mapromoter mnao leta wasanii nchi za watu kwa fadia zenu wenyewe na huku hamwajali jamani kweli hii ni haki? Kama umeweza kumlipa artist mmoja kama inavyodaiwa na wote wawili walikuwa kwenye show moja waka perform pamoja unashindwa vipi kumlipa mwingine? Una pigiwa simu hupokei umemuacha mtu hoteleni tena kwenye nchi ya watu what do you expect??? Come on this is not fair. Kama ni kweli umefanya hivyo naomba umlipe haki yake maana amekufanyia kazi kama mlivyo kubaliana na istoshe alikuja kwa kuheshimu mkataba pamoja na wakati mgumu alio kuwa nao baada ya kumpoteza rafiki yake kipenzi Mangwea. Tuwe na ubinadmau kidogo. Majangaaaaaa majangaaaa mbona majangaaaaaa!!!! Juhudi za kumtafuta Victor DJRule BongoUK bado zinaendelea bila mafanikio.
Comments
Post a Comment