VIDEO: CHADEMA WASEMA MLIPUAJI WA BOMU LA ARUSHA NI POLISI.

Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika, akizungumza na Waandishi wa Habari leo tarehe 18/06/2013 Makao Makuu ya chama hicho ambapo amesema Chadema inao ushahidi wa video kuwa aliyelipua bomu kwenye mkutano wao Arusha ni polisi na akasaidiwa na wenzake kutoroka.
(Video: Chadema TV)

Comments