Marehemu Langa Kileo juzi Jumatatu aliachia Audio na baadaye Video ya ngoma yake mpya iitwayo "Rafiki Wa Kweli" ambapo kupitia ukurasa wake wa Facebook aliwataka mashabiki wake kuangalia video hiyo na nyinginezo kama Pipi ya Kijiti, Matawi ya Juu na Gangsta!
R.I.P LANGA KILEO!
Comments
Post a Comment