Mkuu wa kitengo cha uendeshaji wa mtandao wa Vodacom Tanzania,Bw.Andrew Lupembe,akiwaonyesha mitungi ya gesi ya kisasa ambayo inatumika kuzima moto wanafunzi wa chuo cha kijeshi cha mawasiliano cha jijini Dar es Salaam, Wakati walipofanya ziara ya kimafunzo katika moja ya kituo cha kurushia mawasiliano cha Vodacom kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. |
Comments
Post a Comment