
Chef Stew akimtambulisha designer LINDA BEZUIDENHOUT (LB) kwa mamodel wa KAY HARRIS. Kay Harris ni celebrity publicist
Designer LB akiwa na binti yake wa kwanza wote wakiwa wamevaa mavazi ya LBapparel katika picha ya pamoja na models.
LEYLA BEZUIDENHOUT alikuwa kivutio kikubwa sana na vazi lake la LB hapa katika picha ya pamoja na mwanae.
paparazi wakipata picha za hapa na pale kutoka kwa Leyla
Leyla akiwa na celebrity publicist maharufu sana KAY HARRIS
Designer LB akisign autograph kwa partner wa shef Stew
Designer LB aki-sign autograph kwa Sheif wa CLASSIC FARE
LB na mwanae wakiwa na chef wa macelebrity chef Stew wa pili kushoto pamoja na wenzie kwenye tafrija iliokuwa ya VIP's only iliofanyika down town Atlanta 200 peachtree
kwa picha zaidi bofya read more


Comments
Post a Comment