DJ Rommy Jones akiwasili kwenye uwanja mkuu wa Taifa Dar es Salaam |
Diamond akipokelewa na Mwakilishi wa Global Publishers |
Diamond akiwa V.I.P na mazungumzo machache na Mkurugenzi mtendaji wa Global Publishers Erick Shigongo... |
Crew ya Diamond WITH WASAFI STAGE MANAGER QBOY MSAFII... |
Diamond akiteta jambo na ndugu yangu nikisubiria kufanya yale yaliyotuleta... |
Mwana F.A akishow Love na Msanii toka Kenya Prezzo akiwa anaelekea jukwanii... |
Prezzo akipunga kofia kwa hewa kuwasalimu watanzania waliofurika uwanjani hapo... |
Prezzo akifanya yake uwanjani...!! |
Prezzo akiwa amevalia tshirt yenye bendera mbili,Kenya & Tanzania hii akimanisha ana damu mbili.... Kama ujui ngoja nikujuze.......Mama mzazi wa Prezzo ni Mtanzania kabisa toka mwanza... |
Mose Iyobo & Dumi Utamu... |
On set wasafi wakijianda kwenda jukwanii.... |
Afe kipa.....Afe beki lakini ushindi lazima.... |
Ajajajaja hatari sana Roboti kwa hewa.... |
Mzee mzima mwenyewe akiwasili sasa kuna ule msemo usemao nyumbani ni nyumbani... Twende sasa ni kikwetu kwetu tu |
Shuguli ikamia chini sasa.... |
Hapo je......??? Tuimbe wote sasa.. |
Noma kweli......viuno mbele mbele...!! |
Shuguli ikarudi jukwani sasa kila mtu aone kile wasafi nini tunafanya....ni kujipanga tu kila idara thanks kwa Twins Fashion kuhakikisha tunang'a tukiwa stejini... |
Ni huku na kule patashika ya wasafi... |
Yanii....mizuka imepanda mule mule yanii.... |
In Nay wa Mitego voice ''anha nyie watoto mchele mchele...kwenye show viuno mbele mbele...'' |
Nimemaliiiizaaaaaaa...!! |
Interview baada ya show..... |
Choka sana mtu wangu...asikwambie mtu ile shugulli pale yataka mazoezi na mapenzi toka moyoni bila kujali mazingira kuhakikisha unakizi mahitaji ya mashabiki zako |
Wasafi dancers & Diamond n his Blood cuzin Rommy Jones. |
Hapo sasa kujitia kujua ngumi mwisho wa siku nkapelekewa jebu na Dancer wangu....usiguse moto huu kabisa.... |
Hapana chezea...sio muziki tu hata kwenye masumbwi nimo.... |
Comments
Post a Comment