GLORY MANENTO'S KITCHEN PARTY.

Beautiful bride Glory
Bi Harusi na Matron wake wakiingia ukumbini. 
Pendeza sana dada Glory
Bi harusi akiongea machache
Binti Manento full kutokeleza
Bi harusi akiimba na wanakwaya wenzake wa Magomeni SDA Church
Ikiafika time ya cheers

To good life, health & happiness

Bibi wa Bi Harusi (kulia), wifi wa bi harusi (mke wa mdogo wake) na mama mzazi wa bi harusi
Bi harusi na matron wake katika pose
Bi Harusi, mtoa mada na matron wake
Bi harusi akiwa na mama yake mzazi mama Manento. Mungu atukuzwe sana. 
Namuona bi Harusi kwa nyuma kashukilia mic hahaha si mchezo
Mambo ya red red ndo yalitawala safi sana
Wifi mtu na muandaa shughuli nzima Roselyn akitunzwa na alishindwaje kujizuia kulia awwww
Wifi wa bi harusi (mke wa mdogo wake bi harusi) akiongea machache
Wanakamati pendeza sana
Bride: Glory
Matron: Ndili
Color: Orange & Brown
Venue: Beijing Restaurant, Regent Estate, Dar



Comments