HATIMAYE K LYNN aka JACQUELINE NTUYABALIWE AAMUA KUACHIA PICHA YA WANE PAMOJA NA BABA YAO REGINALD MENGI.
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Picha hii imekuwa ikisubirwa kwa hamu sana na hatimaye mrembo wetu K Lynn ameamua kufunguka na kutonyesha picha hii ambayo ilipigwa kwenye ubatizo wa mapcha wao. Picha iko wazi na inajieleza na yeye mwenyewe kaicapiton "My Family".
Ubatizo huo ulifanyika huko nyumbani kwao Machame na kuhuduriwa na ndugu jamaa na marafiki wao wakaribu tu. Hongera zao sana na Mungu awabariki. Basi kwa leo naishia hapa na hii ndo habari ya Mujini. #okbyeeeeeeeeee
Comments
Post a Comment